Category: Kimataifa
Waziri Mkuu azuru eneo la mauaji ya Mbunge
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson leo Jumamosi amezuru eneo ambalo Mbunge wa Chama wa Wahafidhina, Sir. David Amess amechomwa kisu na kufariki s [...]
300 wakamatwa kwa kutotumia daraja la watembea kwa miguu
Watu zaidi ya 300 wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya kwa kosa la kutotumia daraja la juu la watembea kwa miguu lililowekwa kwa ajili ya kuvu [...]
Leo katika historia: Shirika la Chakula Duniani (FAO) liliasisiwa
Tarehe na mwezi kama wa leo (Oktoba 16) mwaka 1945, Shirika la chakula duniani (FAO) liliasisiwa. Shirika hilo ambalo hati ya kuasisiwa kwake lilipiti [...]
Mwanafunzi wa darasa la 6 amuua mwenzake kisa ugali
Polisi kwenye kaunti ya Kakamega nchini Kenya wanamshikilia mwanafunzi wa darasa la Sita mwenye umri wa miaka 14 anayeshutumiwa kumuua mwenzake kwa k [...]
Mbunge auawa kwa kuchomwa kisu
Mbunge wa Chama cha Wahafidhina (Conservative) nchini Uingereza, Sir. David Amess amefariki baada ya kuchomwa visu mara kadhaa wakati akifanya ziara z [...]
Sharubati (Juice) za Ceres zakutwa na sumu
Kampuni kutoka Afrika Kusini inayotengeneza sharubati aina ya Ceres imerudisha kiwandani baadhi ya bidhaa hizo zilizosambazwa kwenye nchi saba kutokan [...]
Apple kusitisha kuzalisha iPhone 13
Kampuni ya Apple kuacha kuzalisha iPhone 13 kwa muda kutokana na uhaba wa vipuli (spare) aina ya ‘chip’, kipuli ambacho hufanya simu za iphone kufanya [...]
Boss wa Samsung hatiani kutumia madawa
Mahakama nchini Korea Kusini imemkuta na hatia ‘Boss’ wa Samsung, Jay Lee aliyekuwa askishtakiwa kwa makosa ya kutumia dawa ambazo zimekatazwa kutumik [...]
Majasusi wa Urusi wahusishwa na wizi wa ‘formula’ ya chanjo Uingereza
Vyanzo vya habari vya Uingereza vimekuwa vikieneza uvumi kuwa Urusi imeiba njia (formula) ya kutengeneza chanjo aina ya AstraZeneca na kutengeneza cha [...]
Somalia yashinda mgogoro wa mpaka na Kenya
Mahakama ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa (ICJ) imetoa hukumu juu ya mgogoro wa bahari kati ya Somalia na Kenya, eneo ambalo linasemekana kuwa na utaj [...]