Category: Kimataifa
Apple kusitisha kuzalisha iPhone 13
Kampuni ya Apple kuacha kuzalisha iPhone 13 kwa muda kutokana na uhaba wa vipuli (spare) aina ya ‘chip’, kipuli ambacho hufanya simu za iphone kufanya [...]
Boss wa Samsung hatiani kutumia madawa
Mahakama nchini Korea Kusini imemkuta na hatia ‘Boss’ wa Samsung, Jay Lee aliyekuwa askishtakiwa kwa makosa ya kutumia dawa ambazo zimekatazwa kutumik [...]
Majasusi wa Urusi wahusishwa na wizi wa ‘formula’ ya chanjo Uingereza
Vyanzo vya habari vya Uingereza vimekuwa vikieneza uvumi kuwa Urusi imeiba njia (formula) ya kutengeneza chanjo aina ya AstraZeneca na kutengeneza cha [...]
Somalia yashinda mgogoro wa mpaka na Kenya
Mahakama ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa (ICJ) imetoa hukumu juu ya mgogoro wa bahari kati ya Somalia na Kenya, eneo ambalo linasemekana kuwa na utaj [...]
Chad yapata msamaha wa FIFA
Baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuifungia timu ya taifa ya Chad kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingilia ufanyaji kazi wa FIFA kwenye nc [...]
Polisi wakamata bangi ndani ya gereza
Bangi zenye thamani ya shilingi milioni 1.8 zimekutwa ndani ya gereza kwenye mji wa Empangeni nchini Afrika Kusini baada ya polisi kufanya msako mkali [...]
Kampeni za uchaguzi zamponza msanii, ajitoa tuzo za AFRIMMA
Mwanamuziki Slapdee ametumia ukurasa wake wa Facebook kuomba radhi kwa waandaji wa tuzo za AFRIMMA na kuomba kutolewa kwenye tuzo hizo.
Slapdee ame [...]
Nchi maskini deni limeongezeka maradufu – Ripoti ya Benki ya Dunia
Ripoti ya takwimu za madeni ya mwaka 2022 inayotolewa na Benki ya Dunia inaeleza kuwa madeni ya nchi za kipato cha chini yameongezeka kwa asilimia 12 [...]
Mtanzania Abby Chams kwenye show kubwa ya ‘Kelly Clarkson
Kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani binti wa Kitanzania Abby Chams ambaye ni mwanamuziki amepata nafasi ya kuwakilisha Wasichana wa Ta [...]
Mauzo albam ya R Kelly yaongezeka
Mauzo ya albamu ya R. Kelly yameongezeka kwa asilimia 517%, na uhitaji wa albamu hiyo kwa mwaka 2021 ni milioni 6.4, licha ya Septemba 27 mwanamuziki [...]