Category: Kimataifa
‘Mgombea Urais’ Kenya aogopa kuibiwa na Wagombea wenzake
Gavana wa Machakos ambaye pia ameweka azma ya kugombea urasi nchini Kenya Dr. Alfred Mutua amesema kwamba hataki kuzungumzia kuhusu mipango na ilani y [...]
Historia ya mwanamke wa kwanza kuwa Rais Afrika
Kuna wanawake waliowahi kuwa Marais Afrika kabla ya mwaka 2006. Hao ni pamoja na Slyvie Kiningi aliyerithi kiti cha Urais nchini Burundi (Februari-Okt [...]
Squid Game kufungiwa Kenya
Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji nchini Kenya (KFCB), Christopher Wambula amewashauri wazazi kuwa waangalifu na kufuatilia video ambazo watot [...]
Rwanda kugawa simu bure kwa Wananchi
Serikali ya Nchi ya Rwanda inatarajia kusambaza simu za kisasa takribani 14,000 kwa wananchi wake kwenye kampeni inayojulikana kama “Connect Rwanda Ch [...]
Tanzania, Uingereza kuboresha uhusiano wa kibiashara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameeleza dhamira na msimamo wa Tanzania katika kuboresha uhusiano wa kibiashara na Uingere [...]
Elon Musk kuuza hisa za Tesla kutatua tatizo la njaa duniani
Elon Musk, tajiri namba moja duniani amewapa mtihani Shirika la Chakula Duniani (WFP) kuthibitisha kwamba $6 Bilioni za kimarekani zinaweza kutatua ta [...]
Apata ajali, mkono washonewa tumboni
Maisha ni kama fumbo tunaamka wazima hatujui tutakutana na nini na wakati gani. Ni sawa na Martin Shawn wa nchini Uingereza ambaye alipata ajali mba [...]
Uingereza yakubali vyeti vya chanjo ya UVIKO-19 kutoka Tanzania
Octoba 7, 2021 Serikali ya Uingereza kupita Ubalozi wake nchini Tanzania ulitoa tamko la kupunguza vikwazo vya kuingia Uingereza kwa watanzania na wai [...]
Facebook yabadili jina
Mtandao wa Facebook umechukua uamuzi wa kubadili jina lake lililozoeleka na wengi na kujiita 'Meta'. Facebook imesema kuwa kufanya hivyo ni moja ya ha [...]
Mohamed Ibrahim: Kijana wa miaka 36 aliyezama kwenye penzi la Kikongwe wa miaka 82
Iris, kikongwe wa miaka 82, anaonekana mwenye furaha kila amzungumziapo mume wake wa ndoa, Mohamed Ibrahim raia wa Misri mwenye miaka 36.
Mohamed a [...]